Translations:Policy:Universal Code of Conduct/Enforcement guidelines/7/sw

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Revision as of 05:14, 25 May 2023 by RamzyM (WMF) (talk | contribs) (Importing a new version from external source)
(diff) ← Older revision | Latest revision (diff) | Newer revision → (diff)

Toleo asili la Miongozo ya Utekelezaji ya UCoC iko katika Kiingereza. Itatafsiriwa katika lugha mbalimbali zinazotumiwa kwenye miradi ya Wikimedia. Wikimedia Foundation itafanya juhudi zake zote ili kuwa na tafsiri sahihi. Ikiwa tofauti yoyote itajitokeza katika maana kati ya toleo la Kiingereza na tafsiri, maamuzi yatatokana na toleo la Kiingereza.