Translations:Policy:Universal Code of Conduct/Enforcement guidelines/3/sw

From Wikimedia Foundation Governance Wiki
Revision as of 04:29, 19 April 2024 by Kisare (talk | contribs)

Miongozo hii ya Utekelezaji inaelezea jinsi jumuiya na Wikimedia Foundation wataweza kufikia malengo ya Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (MUKIMUMA). Hii ni pamoja na, miongoni mwa mada nyingine: kukuza uelewa wa MUKIMUMA, kushiriki katika kazi ya haraka ili kuzuia ukiukaji, kubuni kanuni za kushughulikia ukiukaji wa MUKIMUMA, na kusaidia miundo ya utekelezaji wa ndani.