Translations:Resolution:Approval of Universal Code of Conduct Enforcement Guidelines/3/sw
Kwa kuwa, mnamo 2020, Bodi ya Wadhamini ilipitisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (MUKIMUMA) kama sera ya kubana kwenye miradi yote ya Wikimedia;